The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 38 › Isaya 38:16

Isaya 38:16

Bwana, kwa mambo kama haya watu huishi, 2 nayo roho yangu hupata uzima katika hayo pia. 1 Uliniponya 2 na kuniacha niishi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

O Lord, by these things men live, and in all these things is the life of my spirit: so wilt thou recover me, and make me to live.

In Context

15Lakini niseme nini? 2 Amesema nami, naye yeye mwenyewe amelitenda hili. 1 Nitatembea kwa unyenyekevu 2 katika miaka yangu yote 1 kwa sababu ya haya maumivu makali 2 ya nafsi yangu. 1

17Hakika ilikuwa ya faida yangu 2 ndiyo maana nikapata maumivu makali. 1 Katika upendo wako ukaniokoa 2 kutoka shimo la uharibifu; 1 umeziweka dhambi zangu zote 2 nyuma yako. 1

Read all of Isaya 38

Cross References

Deuteronomy 8:3Alikudhili na kukufanya uone njaa kisha akulishe kwa mana, ambayo wewe wala baba zako hamkuijua, awafundishe kuwa mwanadamu hataishi kwa mkate tu bali kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Bwana.

Psalms 30:3Ee Bwana, umenitoa Kuzimu, 2 umeniokoa nisishuke kwenye shimo la mauti. 1

Psalms 119:25Nimelazwa chini mavumbini, 2 yahifadhi maisha yangu sawasawa na neno lako. 1

Matthew 4:4Lakini Yesu akajibu, “Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.’ ”

2 Corinthians 4:17Kwa maana dhiki yetu nyepesi iliyo ya kitambo inatutayarisha kwa ajili ya utukufu wa milele unaozidi kuwa mwingi kupita kiasi,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 38:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 38:15Isaya 38Isaya 38:17 →