The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 38 › Isaya 38:17

Isaya 38:17

Hakika ilikuwa ya faida yangu 2 ndiyo maana nikapata maumivu makali. 1 Katika upendo wako ukaniokoa 2 kutoka shimo la uharibifu; 1 umeziweka dhambi zangu zote 2 nyuma yako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, for peace I had great bitterness: but thou hast in love to my soul delivered it from the pit of corruption: for thou hast cast all my sins behind thy back.

In Context

16Bwana, kwa mambo kama haya watu huishi, 2 nayo roho yangu hupata uzima katika hayo pia. 1 Uliniponya 2 na kuniacha niishi. 1

18Kwa maana kaburi + 38:18 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. haliwezi kukusifu, 2 mauti haiwezi kuimba sifa zako; 1 wale washukao chini shimoni 2 hawawezi kuutarajia uaminifu wako. 1

Read all of Isaya 38

Cross References

Job 3:25Lile nililokuwa naliogopa limenijia; 2 lile nililokuwa ninalihofia limenipata. 1

Psalms 10:2Katika kiburi chake, mwovu humtesa maskini, 2 waovu na wanaswe katika hila wanazozitunga. 1

Psalms 30:6Nilipofanikiwa nilisema, 2 “Sitatikiswa kamwe.” 1

Psalms 85:2Ulisamehe uovu wa watu wako, 2 na kufunika dhambi zao zote. 1

Psalms 88:4Nimehesabiwa miongoni mwa wale waendao shimoni, 2 niko kama mtu asiye na nguvu. 1

Psalms 103:4aukomboa uhai wako na kaburi, 2 akuvika taji ya upendo na huruma, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 38:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 38:16Isaya 38Isaya 38:18 →