Isaiah 38:18
Kwa maana kaburi + 38:18 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. haliwezi kukusifu, 2 mauti haiwezi kuimba sifa zako; 1 wale washukao chini shimoni 2 hawawezi kuutarajia uaminifu wako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 6:5Hakuna mtu anayekukumbuka 2 akiwa amekufa. 1 Ni nani awezaye kukusifu 2 akiwa kuzimu? 1
Psalms 30:9“Kuna faida gani katika kuangamia kwangu? 2 Katika kushuka kwangu shimoni? 1 Je, mavumbi yatakusifu? 2 Je, yatatangaza uaminifu wako? 1
Psalms 115:17Sio wafu wanaomsifu Bwana, 2 wale washukao mahali pa kimya, + 115:17 Mahali pa kimya maana yake ni Kuzimu, yaani Sheol kwa Kiebrania. 1
Ecclesiastes 9:10Lolote mkono wako upatalo kufanya, fanya kwa nguvu zako zote, kwa kuwa huko kuzimu, unakokwenda, hakuna kufanya kazi wala mipango wala maarifa wala hekima.
Matthew 25:46“Ndipo hawa watakapoingia kwenye adhabu ya milele, lakini wale wenye haki wataingia katika uzima wa milele.”