Isaya 37:30
“Hii ndiyo itakuwa ishara kwako, ee Hezekia: 1 “Mwaka huu utakula kile kiotacho chenyewe, 2 na mwaka wa pili utakula kutoka machipukizi yake. 1 Lakini katika mwaka wa tatu panda na uvune, 2 panda mashamba ya mizabibu na ule matunda yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31Mara nyingine tena mabaki ya nyumba ya Yuda 2 wataeneza mizizi chini na kuzaa matunda juu. 1
Cross References
Exodus 3:12Naye Mungu akasema, “Mimi nitakuwa pamoja nawe. Hii itakuwa ishara kwako kwamba ni Mimi nimekutuma: Hapo utakapokuwa umewatoa watu Misri, mtamwabudu Mungu katika mlima huu.”
Leviticus 25:5Msivune na kuweka akiba kinachoota chenyewe, wala kuvuna na kusindika zabibu ambayo hamkuhudumia mashamba yake. Nchi lazima iwe na mwaka wa mapumziko.
1 Kings 13:3Siku iyo hiyo, mtu wa Mungu akatoa ishara: “Hii ndiyo ishara Bwana aliyotangaza: Madhabahu haya yatapasuka na majivu yaliyo juu yake yatamwagika.”
2 Kings 20:9Isaya akajibu, “Hii ndiyo ishara ya Bwana kwako kwamba Bwana atafanya kile alichoahidi: Je, kivuli kiende hatua kumi mbele, au kivuli kirudi nyuma hatua kumi?”
Isaiah 7:21Katika siku ile, mtu atahifadhi hai ndama mmoja na kondoo wawili.