The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 7 › Isaiah 7:11

Isaiah 7:11

“Mwombe Bwana Mungu wako ishara, iwe kwenye vina virefu sana, au kwenye vimo virefu sana.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Ask thee a sign of the LORD thy God; ask it either in the depth, or in the height above.

In Context

10Bwana akasema na Ahazi tena,

12Lakini Ahazi akasema, “Sitaomba; sitamjaribu Bwana.”

Read all of Isaiah 7

Cross References

Judges 6:40Usiku ule Mungu akafanya hivyo. Ngozi ile ilikuwa kavu, nayo ardhi yote ikafunikwa na umande.

2 Kings 19:29“Hii ndiyo itakuwa ishara kwako, ee Hezekia: 1 “Mwaka huu utakula kile kiotacho chenyewe, 2 na mwaka wa pili utakula kutoka machipukizi yake. 1 Lakini katika mwaka wa tatu, panda na uvune, 2 panda mashamba ya mizabibu na ule matunda yake. 1

Isaiah 37:30“Hii ndiyo itakuwa ishara kwako, ee Hezekia: 1 “Mwaka huu utakula kile kiotacho chenyewe, 2 na mwaka wa pili utakula kutoka machipukizi yake. 1 Lakini katika mwaka wa tatu panda na uvune, 2 panda mashamba ya mizabibu na ule matunda yake. 1

Isaiah 38:22Hezekia alikuwa ameuliza, “Kutakuwa na ishara gani kwamba nitapanda kwenda Hekalu la Bwana?”

Jeremiah 19:10“Kisha livunje lile gudulia wale walio pamoja nawe wakiwa wanaangalia,

Matthew 12:38Kisha baadhi ya Mafarisayo na walimu wa sheria wakamwambia, “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 7:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 7:10Isaiah 7Isaiah 7:12 →