Isaiah 40:11
Huchunga kundi lake kama mchungaji wa mifugo: 2 Hukusanya wana-kondoo katika mikono yake 1 na kuwachukua karibu na moyo wake, 2 huwaongoza taratibu wale wanyonyeshao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 49:24Lakini upinde wake ulibaki imara, 2 mikono yake ikatiwa nguvu, 1 na mkono wa Mwenye Nguvu wa Yakobo, 2 kwa sababu ya Mchungaji, Mwamba wa Israeli, 1
Psalms 28:9Waokoe watu wako na uubariki urithi wako; 2 uwe mchungaji wao na uwabebe milele.
Psalms 80:1Ee Mchungaji wa Israeli tusikie, 2 wewe umwongozaye Yosefu kama kundi; 1 wewe uketiye katika kiti cha enzi 2 katikati ya makerubi, angaza 2
Isaiah 49:9kuwaambia mateka, ‘Tokeni nje,’ 2 nao wale walio gizani, ‘Kuweni huru!’ 1 “Watajilisha kando ya barabara 2 na kupata malisho yao juu ya kila kilima kilicho kitupu. 1
Ezekiel 34:12Kama vile mchungaji atafutavyo kundi lake lililotawanyika wakati akiwa pamoja nalo, hivyo ndivyo nitakavyowatafuta kondoo wangu. Nitawaokoa kutoka mahali pote walipokuwa wametawanyikia katika siku ya mawingu na giza nene.
Ezekiel 34:16Nitawaulizia kondoo waliopotea na kuwaleta waliotangatanga. Nitawafunga waliojeruhiwa na kuwatia nguvu walio dhaifu lakini wale waliojikinai na wenye nguvu nitawaangamiza. Nitalichunga kundi kwa haki.