Isaya 40:12
Ni nani aliyepima maji ya bahari 2 kwenye konzi ya mkono wake, 2 au kuzipima mbingu kwa shibiri + 40:12 Shibiri ni sawa na sentimita 20 au inchi 8. yake? 1 Ni nani aliyeyashika mavumbi ya dunia katika kikapu, 2 au kupima milima kwenye kipimio 2 na vilima kwenye mizani? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Bwana, 2 au kumfundisha akiwa kama mshauri wake? 1
Cross References
Job 28:25Alipofanyiza nguvu za upepo 2 na kuyapima maji, 1
Psalms 102:25Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, 2 nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. 1
Proverbs 8:26kabla hajaumba dunia wala mashamba yake 2 au vumbi lolote la dunia. 1
Isaiah 48:13Mkono wangu mwenyewe uliweka misingi ya dunia, 2 nao mkono wangu wa kuume umezitanda mbingu; 2 niziitapo, zote husimama pamoja. 1
Revelation 20:11Kisha nikaona kiti kikubwa cheupe cha enzi pamoja na yeye aliyeketi juu yake. Dunia na mbingu zikaukimbia uso wake wala mahali pao hapakuonekana.