The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 40 › Isaiah 40:14

Isaiah 40:14

Ni nani ambaye Bwana ametaka shauri kwake ili kumwelimisha, 2 naye ni nani aliyemfundisha njia iliyo sawa? 1 Ni nani aliyemfundisha maarifa 2 au kumwonyesha mapito ya ufahamu? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

With whom took he counsel, and who instructed him, and taught him in the path of judgment, and taught him knowledge, and shewed to him the way of understanding?

In Context

13Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Bwana, 2 au kumfundisha akiwa kama mshauri wake? 1

15Hakika mataifa ni kama tone ndani ya ndoo, 2 ni kama vumbi jembamba juu ya mizani, 2 huvipima visiwa kana kwamba vilikuwa vumbi laini. 1

Read all of Isaiah 40

Cross References

Job 21:22“Je, yuko mtu yeyote awezaye kumfundisha Mungu maarifa, 2 iwapo yeye ndiye ahukumuye hata walio juu ya wote? 1

1 Corinthians 12:4Kuna aina mbalimbali za karama, lakini Roho ni yule yule.

James 1:17Kila kitolewacho kilicho chema na kilicho kamili, hutoka juu, na hushuka kutoka kwa Baba wa mianga, ambaye kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeukageuka.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 40:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 40:13Isaiah 40Isaiah 40:15 →