Isaiah 40:13
Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Bwana, 2 au kumfundisha akiwa kama mshauri wake? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who hath directed the Spirit of the LORD, or being his counsellor hath taught him?
In Context
Cross References
Job 36:22“Mungu ametukuzwa katika nguvu zake. 2 Ni nani aliye mwalimu kama yeye? 1
Jeremiah 23:18Lakini ni yupi miongoni mwao aliyesimama katika baraza la Bwana 2 ili kuona au kusikia neno lake? 1 Ni nani aliyesikiliza 2 na kusikia neno lake? 1
John 1:13Hawa ndio wasiozaliwa kwa damu, wala kwa mapenzi ya mwili au kwa mapenzi ya mtu, bali kwa mapenzi ya Mungu.
1 Corinthians 2:16“Kwa maana ni nani aliyefahamu mawazo ya Bwana 2 ili apate kumfundisha?” Lakini sisi tunayo mawazo ya Kristo.