Job 21:22
“Je, yuko mtu yeyote awezaye kumfundisha Mungu maarifa, 2 iwapo yeye ndiye ahukumuye hata walio juu ya wote? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Shall any teach God knowledge? seeing he judgeth those that are high.
In Context
21Kwani anajali nini kuhusu jamaa anayoiacha nyuma, 2 miezi yake aliyopangiwa ifikapo mwisho? 1
23Mtu mmoja hufa akiwa na nguvu zake kamili, 2 akiwa salama na mwenye raha kamili, 1
Cross References
Job 15:15Kama Mungu hawaamini watakatifu wake, 2 kama hata mbingu zenyewe si safi machoni pake, 1
Job 35:11yeye atufundishaye sisi zaidi kuliko wanyama wa dunia, 2 na kutufanya wenye hekima kuliko ndege wa angani?’ 1
Job 36:23Ni nani aliyemwelekeza katika njia zake, 2 au kumwambia, ‘Wewe umetenda yasiyo sawa’? 1
Job 40:2“Je, mwenye kushindana na Mwenyezi aweza kumsahihisha? 2 Mwenye kumlaumu Mungu na ajibu.”
Psalms 113:5Ni nani aliye kama Bwana Mungu wetu, 2 Yeye ambaye ameketi juu kwenye kiti cha enzi, 1
Isaiah 40:13Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Bwana, 2 au kumfundisha akiwa kama mshauri wake? 1