Isaya 40:20
Mtu aliye maskini sana asiyeweza kuleta sadaka kama hii 2 huuchagua mti usiooza. 1 Humtafuta fundi stadi 2 wa kusimamisha sanamu ambayo haitatikisika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 2:8Nchi yao imejaa sanamu, 2 wanasujudia kazi za mikono yao, 2 vitu vile vidole vyao vimevitengeneza. 1
Isaiah 44:13Seremala hupima kwa kutumia kamba 2 na huuchora mstari kwa kalamu; 1 huchonga kwa patasi 2 na kutia alama kwa bikari. 1 Huifanyiza katika umbo la binadamu, 2 la mwanadamu katika utukufu wake wote, 2 ili iweze kukaa katika sehemu yake ya ibada ya miungu. 1
Jeremiah 10:3Kwa maana desturi za mataifa hazina maana, 2 wanakata mti msituni, 2 na fundi anauchonga kwa patasi. 1