The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 2 › Isaiah 2:8

Isaiah 2:8

Nchi yao imejaa sanamu, 2 wanasujudia kazi za mikono yao, 2 vitu vile vidole vyao vimevitengeneza. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Their land also is full of idols; they worship the work of their own hands, that which their own fingers have made:

In Context

7Nchi yao imejaa fedha na dhahabu, 2 hakuna mwisho wa hazina zao. 1 Nchi yao imejaa farasi, 2 hakuna mwisho wa magari yao. 1

9Kwa hiyo mwanadamu atashushwa 2 na binadamu atanyenyekezwa: 2 usiwasamehe. 1

Read all of Isaiah 2

Cross References

Deuteronomy 4:28Huko mtaabudu miungu ya miti na mawe iliyotengenezwa na watu, ambayo haiwezi kuona au kusikia wala kula au kunusa.

2 Kings 17:16Wakayaacha maagizo yote ya Bwana Mungu wao na kujitengenezea sanamu mbili, walizozisubu katika sura ya ndama na nguzo ya Ashera. Wakasujudia mianga yote ya angani, na wakamtumikia Baali.

2 Chronicles 28:2Akaenenda katika njia za wafalme wa Israeli, na pia akasubu sanamu kwa ajili ya kuabudu Mabaali.

2 Chronicles 33:3Akajenga upya mahali pa juu pa kuabudia miungu ambapo Hezekia baba yake, alikuwa amepabomoa, pia akasimamisha madhabahu za Mabaali na nguzo za Maashera. Akalisujudia jeshi lote la angani na kuliabudu.

Isaiah 10:10Kama vile mkono wangu ulivyotwaa falme za sanamu, 2 falme ambazo vinyago vyao vilizidi vile vya Yerusalemu na Samaria: 1

Isaiah 37:19Wameitupa miungu yao kwenye moto na kuiangamiza, kwa kuwa haikuwa miungu, bali miti na mawe tu, iliyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 2:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 2:7Isaiah 2Isaiah 2:9 →