Isaiah 40:22
Anakaa kwenye kiti cha enzi juu ya duara ya dunia, 2 nao watu wakaao ndani yake ni kama panzi. 1 Huzitandaza mbingu kama chandarua, 2 na kuzitandaza kama hema la kuishi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Huwafanya wakuu kuwa si kitu, 2 na kuwashusha watawala wa dunia hii kuwa kitu bure. 1
Cross References
Numbers 13:33Tuliwaona Wanefili huko (wazao wa Anaki wanatokana na Wanefili.) Tulijiona kama panzi machoni petu wenyewe, nao ndivyo walivyotuona.”
Job 22:14Mawingu mazito ni pazia lake, hivyo hatuoni sisi 2 atembeapo juu ya anga la dunia. 1
Job 36:29Ni nani ajuaye jinsi ayatandazavyo mawingu, 2 jinsi angurumavyo kutoka hemani mwake. 1
Job 38:4“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia? 2 Niambie, kama unafahamu. 1
Psalms 29:10Bwana huketi akiwa ametawazwa juu ya gharika; 2 Bwana ametawazwa kuwa Mfalme milele. 1
Psalms 102:25Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, 2 nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. 1