The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 36 › Ayubu 36:29

Ayubu 36:29

Ni nani ajuaye jinsi ayatandazavyo mawingu, 2 jinsi angurumavyo kutoka hemani mwake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Also can any understand the spreadings of the clouds, or the noise of his tabernacle?

In Context

28mawingu huangusha chini maji yake, 2 nayo mvua nyingi huwanyeshea wanadamu. 1

30Tazama jinsi anavyotandaza umeme wa radi kumzunguka, 2 naye huvifunika vilindi vya bahari. 1

Read all of Ayubu 36

Cross References

Job 26:14Haya ni mambo madogo tu katika matendo yake; 2 tazama jinsi ulivyo mdogo mnongʼono tunaousikia kumhusu! 1 Ni nani basi awezaye kuelewa 2 ngurumo za nguvu zake?”

Job 37:2Sikiliza! Sikiliza ngurumo ya sauti yake, 2 sauti ya ngurumo itokayo kinywani mwake. 1

Job 38:9nilipoyafanya mawingu kuwa vazi lake, 2 na kuyafungia katika giza nene, 1

Psalms 18:13Bwana alinguruma kutoka mbinguni, 2 sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika. 1

Psalms 77:16Maji yalikuona, Ee Mungu, 2 maji yalikuona yakakimbia, 2 vilindi vilitetemeka. 1

Psalms 104:3na kuziweka nguzo za orofa yake juu ya maji. 1 Huyafanya mawingu kuwa gari lake, 2 na hupanda kwenye mbawa za upepo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 36:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 36:28Ayubu 36Ayubu 36:30 →