Ayubu 38:4
“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia? 2 Niambie, kama unafahamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Where wast thou when I laid the foundations of the earth? declare, if thou hast understanding.
In Context
3Jikaze kama mwanaume; 2 nitakuuliza swali, 2 nawe unijibu. 1
Cross References
Job 15:7“Je, wewe ni mtu wa kwanza kuzaliwa? 2 Ulizaliwa kabla ya vilima? 1
Psalms 102:25Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, 2 nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. 1
Psalms 104:5Ameiweka dunia kwenye misingi yake, 2 haiwezi kamwe kuondoshwa. 1
Proverbs 8:22“ Bwana aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, 2 kabla ya matendo yake ya zamani; 1
Proverbs 30:4Ni nani ameshapanda mbinguni na kushuka? 2 Ni nani ameshakusanya upepo 2 kwenye vitanga vya mikono yake? 1 Ni nani ameshafungia maji kwenye nguo yake? 2 Ni nani ameimarisha miisho yote ya dunia? 1 Jina lake ni nani, na mwanawe anaitwa nani? 2 Niambie kama unajua! 1
Hebrews 1:10Pia asema, 1 “Hapo mwanzo, Ee Bwana, uliweka misingi ya dunia, 2 nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. 1