Isaya 40:31
bali wale wamtumainio Bwana 2 atafanya upya nguvu zao. 1 Watapaa juu kwa mbawa kama tai; 2 watapiga mbio wala hawatachoka, 2 watatembea kwa miguu wala hawatazimia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30Hata vijana huchoka na kulegea, 2 nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka, 1
Cross References
Deuteronomy 33:25Makomeo ya malango yako yawe chuma na shaba, 2 nazo nguvu zako zitakuwa sawa na siku zako. 1
Judges 16:28Ndipo Samsoni akamwomba Bwana, akasema, “Ee Bwana Mwenyezi, unikumbuke. Ee Mungu, nakusihi ukanitie nguvu mara hii moja tena, ili kwa tendo hili nipate kulipiza kisasi juu ya Wafilisti kwa ajili ya macho yangu mawili.”
Job 33:24kumwonea huruma na kusema, 2 ‘Mwokoe asije akatumbukia shimoni; 2 nimepata ukombozi kwa ajili yake’: 1
Psalms 25:3Kamwe hakuna hata mmoja anayekutegemea 2 atakayeaibishwa, 1 bali wataaibishwa 2 wafanyao hila bila sababu. 1
Psalms 25:21Uadilifu na uaminifu vinilinde, 2 kwa sababu tumaini langu ni kwako. 1
Psalms 37:34Mngojee Bwana, 2 na uishike njia yake. 1 Naye atakutukuza uirithi nchi, 2 waovu watakapokatiliwa mbali, 2 utaliona hilo. 1