Isaiah 40:30
Hata vijana huchoka na kulegea, 2 nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Even the youths shall faint and be weary, and the young men shall utterly fall:
In Context
29Huwapa nguvu waliolegea 2 na huongeza nguvu za wadhaifu. 1
Cross References
1 Samuel 30:10kwa kuwa watu 200 walikuwa wamechoka sana kuweza kuvuka hilo bonde. Lakini Daudi pamoja na watu 400 wakaendelea kufuatia.
Psalms 34:10Wana simba wenye nguvu 2 hutindikiwa na kuona njaa, 1 bali wale wamtafutao Bwana 2 hawatakosa kitu chochote kilicho chema. 1
Ecclesiastes 9:11Nimeona kitu kingine tena chini ya jua: 1 Si wenye mbio washindao mashindano 2 au wenye nguvu washindao vita, 1 wala si wenye hekima wapatao chakula 2 au wenye akili nyingi wapatao mali, 1 wala wenye elimu wapatao upendeleo, 2 lakini fursa huwapata wote.
Isaiah 13:18Mishale yao itawaangusha vijana, 2 hawatakuwa na huruma kwa watoto wachanga 2 wala hawataangalia watoto kwa huruma. 1
Jeremiah 9:21Mauti imeingia ndani kupitia madirishani, 2 imeingia kwenye majumba yetu ya fahari; 1 imewakatilia mbali watoto katika barabara 2 na vijana waume kutoka viwanja vya miji.
Amos 2:14Mkimbiaji hodari hatanusurika, 2 wenye nguvu wataishiwa nguvu zao, 2 na shujaa hataweza kuokoa maisha yake. 1