Isaya 41:1
“Nyamazeni kimya mbele zangu, enyi visiwa! 2 Mataifa na wafanye upya nguvu zao! 1 Wao na wajitokeze, kisha waseme, 2 tukutane pamoja mahali pa hukumu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 23:3Laiti ningefahamu mahali pa kumwona; 2 laiti ningeweza kwenda mahali akaapo! 1
Job 38:3Jikaze kama mwanaume; 2 nitakuuliza swali, 2 nawe unijibu. 1
Psalms 46:10“Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu; 2 nitatukuzwa katikati ya mataifa, 2 nitatukuzwa katika dunia.” 1
Isaiah 8:9Inueni kilio cha vita, enyi mataifa, 2 na mkavunjwevunjwe! 2 Sikilizeni, enyi nyote nchi za mbali. 1 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 2 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 1
Isaiah 34:1Njooni karibu, enyi mataifa, nanyi msikilize; 2 sikilizeni kwa makini, 2 enyi kabila za watu! 1 Dunia na isikie, navyo vyote vilivyo ndani yake, 2 ulimwengu na vyote vitokavyo ndani yake! 1
Isaiah 41:21Bwana asema, “Leta shauri lako. 2 Toa hoja yako,” asema Mfalme wa Yakobo. 1