The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 34 › Isaya 34:1

Isaya 34:1

Njooni karibu, enyi mataifa, nanyi msikilize; 2 sikilizeni kwa makini, 2 enyi kabila za watu! 1 Dunia na isikie, navyo vyote vilivyo ndani yake, 2 ulimwengu na vyote vitokavyo ndani yake! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Come near, ye nations, to hear; and hearken, ye people: let the earth hear, and all that is therein; the world, and all things that come forth of it.

In Context

2Bwana ameyakasirikia mataifa yote; 2 ghadhabu yake ni juu ya majeshi yao yote. 1 Atawaangamiza kabisa, 2 atawatia mikononi mwa wachinjaji. 1

Read all of Isaya 34

Cross References

Deuteronomy 32:1Sikilizeni, enyi mbingu, nami nitasema; 2 sikia, ee nchi, maneno ya kinywa changu. 1

Judges 5:31“Adui zako wote na waangamie, Ee Bwana! 2 Bali wote wakupendao na wawe kama jua 2 lichomozavyo kwa nguvu zake.” Hivyo nchi ikawa na amani kwa miaka arobaini.

Psalms 49:1Sikieni haya, enyi mataifa yote, 2 sikilizeni, ninyi wote mkaao dunia hii. 1

Psalms 50:1Mwenye Nguvu, Mungu, Bwana, 2 asema na kuiita dunia, 1 tangu mawio ya jua 2 hadi mahali pake liendapo kutua. 1

Isaiah 1:2Sikieni, enyi mbingu! Sikilizeni, enyi dunia! 2 Kwa maana Bwana amesema: 1 “Nimewalisha watoto na kuwalea, 2 lakini wameniasi mimi. 1

Isaiah 33:13Ninyi mlio mbali sana, sikieni lile nililofanya; 2 ninyi mlio karibu, tambueni uweza wangu! 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 34:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Isaya 34Isaya 34:2 →