The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 41 › Isaiah 41:13

Isaiah 41:13

Kwa maana Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, 2 nikushikaye mkono wako wa kuume 1 na kukuambia, Usiwe na hofu, 2 nitakusaidia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For I the LORD thy God will hold thy right hand, saying unto thee, Fear not; I will help thee.

In Context

12Ingawa utawatafuta adui zako, 2 hutawaona. 1 Wale wanaopigana vita dhidi yako 2 watakuwa kama vile si kitu kabisa. 1

14Usiogope, ee Yakobo uliye mdudu, 2 ee Israeli uliye mdogo, 1 kwa kuwa Mimi mwenyewe nitakusaidia,” asema Bwana, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Read all of Isaiah 41

Cross References

Deuteronomy 33:26“Hakuna mwingine kama Mungu wa Yeshuruni, 2 ambaye hupanda juu ya mbingu ili akusaidie, 2 na juu ya mawingu katika utukufu wake. 1

Psalms 73:23Hata hivyo niko pamoja nawe siku zote, 2 umenishika mkono wangu wa kuume. 1

Psalms 118:7Bwana yuko pamoja nami, 2 yeye ni msaidizi wangu. 1 Nitawatazama adui zangu 2 wakiwa wameshindwa. 1

Isaiah 42:6“Mimi, Bwana, nimekuita katika haki; 2 nitakushika mkono wako. 1 Nitakulinda na kukufanya 2 kuwa Agano kwa ajili ya watu 2 na nuru kwa Mataifa, 1

Isaiah 45:1“Hili ndilo asemalo Bwana kwa mpakwa mafuta wake, 2 Koreshi, ambaye nimemshika mkono wake wa kuume 1 kutiisha mataifa mbele yake 2 na kuwavua wafalme silaha zao, 1 kufungua milango mbele yake 2 ili malango yasije yakafungwa: 1

Jeremiah 30:10“ ‘Hivyo usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu, 2 usifadhaike, ee Israeli,’ 4 asema Bwana. 1 ‘Hakika, nitakuokoa kutoka mbali, 2 wazao wako kutoka nchi ya uhamisho wao. 1 Yakobo atakuwa tena na amani na usalama, 2 wala hakuna atakayemtia hofu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 41:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 41:12Isaiah 41Isaiah 41:14 →