Isaiah 41:12
Ingawa utawatafuta adui zako, 2 hutawaona. 1 Wale wanaopigana vita dhidi yako 2 watakuwa kama vile si kitu kabisa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 20:7ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe. 2 Wale waliomwona watauliza, ‘Yuko wapi?’ 1
Isaiah 17:14Wakati wa jioni, hofu ya ghafula! 2 Kabla ya asubuhi, wametoweka! 1 Hili ndilo fungu la wale wanaotupora, 2 fungu la wale wanaotunyangʼanya mali zetu.
Isaiah 49:25Lakini hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Naam, mateka watachukuliwa kutoka kwa mashujaa, 2 na nyara zitapokonywa kutoka kwa watu wakali. 1 Nitashindana na wale wanaoshindana nawe, 2 nami nitawaokoa watoto wako. 1