Isaiah 41:5
Visiwa vimeliona na kuogopa, 2 miisho ya dunia inatetemeka. 1 Wanakaribia na kuja mbele, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The isles saw it, and feared; the ends of the earth were afraid, drew near, and came.
In Context
6kila mmoja humsaidia mwingine 2 na kusema kwa ndugu yake, “Uwe hodari!” 1
Cross References
Genesis 10:5(Kutokana na hawa mataifa ya Pwani yalienea katika nchi zao, kwa koo zao katika mataifa yao, kila moja kwa lugha yake.) 2 Wazao Wa Hamu 1
Joshua 2:10Tumesikia jinsi Bwana alivyokausha maji ya Bahari ya Shamu kwa ajili yenu mlipotoka Misri, pia lile mlilowatendea Sihoni na Ogu, wafalme wawili wa Waamori mashariki mwa Yordani, ambao mliwaangamiza kabisa.
Psalms 65:8Wale wanaoishi mbali sana 2 wanaogopa maajabu yako, 1 kule asubuhi ipambazukiapo 2 na kule jioni inakofifilia 2 umeziita nyimbo za furaha. 1
Psalms 66:3Mwambieni Mungu, “Jinsi gani yalivyo ya kutisha matendo yako! 2 Uwezo wako ni mkuu mno kiasi kwamba 2 adui wananyenyekea mbele zako. 1
Ezekiel 26:15“Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo kwa Tiro: ‘Je, nchi za pwani hazitatetemeka kwa kishindo cha anguko lako, wakati majeruhi wanapolia kwa maumivu makali na wakati mauaji yanaendelea ndani yako?