Mwanzo 10:5
(Kutokana na hawa mataifa ya Pwani yalienea katika nchi zao, kwa koo zao katika mataifa yao, kila moja kwa lugha yake.) 2 Wazao Wa Hamu 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Wana wa Yavani walikuwa: 2 Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu.
6Wana wa Hamu walikuwa: 2 Kushi, Misraimu, + 10:6 Yaani Misri . Putu na Kanaani. 1
Cross References
Genesis 9:19Hawa ndio waliokuwa wana watatu wa Noa, kutokana nao watu walienea katika dunia.
Genesis 10:25Eberi akapata wana wawili: 2 Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake ndipo dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani. 1
Genesis 11:1Wakati huo dunia yote ilikuwa na lugha moja na msemo mmoja.
Genesis 11:9Ndiyo maana pakaitwa Babeli, kwa sababu hapo ndipo Bwana alipoivuruga lugha ya dunia nzima. Kutoka hapo Bwana akawatawanya katika uso wa dunia yote. 1 Shemu Hadi Abramu (1 Nyakati 1:24-27)
Esther 10:1Mfalme Ahasuero alitoza ushuru katika ufalme wake wote hadi kwenye miambao yake ya mbali.
Isaiah 11:11Katika siku hiyo Bwana atanyoosha mkono wake mara ya pili kurudisha mabaki ya watu wake waliosalia kutoka Ashuru, Misri, Pathrosi, + 11:11 Pathrosi ina maana Misri ya Juu. Kushi, Elamu, Babeli, Hamathi na kutoka visiwa vya baharini. 1