Isaiah 41:6
kila mmoja humsaidia mwingine 2 na kusema kwa ndugu yake, “Uwe hodari!” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They helped every one his neighbour; and every one said to his brother, Be of good courage.
In Context
5Visiwa vimeliona na kuogopa, 2 miisho ya dunia inatetemeka. 1 Wanakaribia na kuja mbele, 2
Cross References
1 Samuel 5:3Watu wa Ashdodi walipoamka asubuhi na mapema kesho yake, kumbe, wakamkuta Dagoni ameanguka chini kifudifudi mbele ya Sanduku la Bwana! Wakamwinua Dagoni na kumrudisha mahali pake.
Isaiah 40:19Kwa habari ya sanamu, fundi huisubu, 2 naye mfua dhahabu huifunika kwa dhahabu 2 na kuitengenezea mikufu ya fedha. 1
Daniel 3:1Mfalme Nebukadneza alitengeneza sanamu ya dhahabu, yenye kimo cha dhiraa sitini, + 3:1 Dhiraa sitini ni sawa na mita 27. na upana wa dhiraa sita, + 3:1 Dhiraa sita ni sawa na mita 2.7. akaisimamisha kwenye tambarare ya Dura katika jimbo la nchi ya Babeli.
Acts 19:24Mtu mmoja jina lake Demetrio mfua fedha aliyekuwa akitengeneza vinyago vya fedha vya Artemi na kuwapatia mafundi wake biashara kubwa,