Isaiah 42:21
Ilimpendeza Bwana 2 kwa ajili ya haki yake 2 kufanya sheria yake kuwa kuu na tukufu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Mmeona vitu vingi, lakini hamkuzingatia; 2 masikio yenu yako wazi, lakini hamsikii chochote.” 1
Cross References
Deuteronomy 4:6Zishikeni kwa uangalifu, kwa kuwa hii itaonyesha hekima na ufahamu wenu kwa mataifa, ambayo yatasikia kuhusu amri zote hizi, nao watasema, “Hakika taifa hili kubwa ni watu wenye hekima na ufahamu.”
Psalms 40:8Ee Mungu wangu, 2 natamani kuyafanya mapenzi yako; 2 sheria yako iko ndani ya moyo wangu.” 1
Psalms 71:19Ee Mungu, haki yako imefika juu katika mbingu, 2 wewe ambaye umefanya mambo makuu. 2 Ee Mungu, ni nani aliye kama wewe? 1
Isaiah 1:24Kwa hiyo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 Mwenye Nguvu wa Israeli, asema hivi: 1 “Lo, nitapata faraja kutoka kwa adui zangu 2 na kujilipizia kisasi juu ya watesi wangu. 1
Isaiah 46:12Nisikilizeni, ninyi wenye mioyo migumu, 2 ninyi mlio mbali na haki. 1
Matthew 3:15Lakini Yesu akamjibu, “Kubali hivi sasa, kwa maana ndivyo itupasavyo kwa njia hii kuitimiza haki yote.” Hivyo Yohana akakubali.