The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 42 › Isaiah 42:22

Isaiah 42:22

Lakini hili ni taifa lililoibwa na kutekwa nyara, 2 wote wamenaswa katika mashimo, 2 au wamefichwa katika magereza. 1 Wamekuwa nyara, 2 wala hapana yeyote awaokoaye. 1 Wamefanywa mateka, 2 wala hapana yeyote asemaye, “Warudishe.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But this is a people robbed and spoiled; they are all of them snared in holes, and they are hid in prison houses: they are for a prey, and none delivereth; for a spoil, and none saith, Restore.

In Context

21Ilimpendeza Bwana 2 kwa ajili ya haki yake 2 kufanya sheria yake kuwa kuu na tukufu. 1

23Ni nani miongoni mwenu atakayesikiliza hili, 2 au atakayezingatia kwa makini katika wakati ujao? 1

Read all of Isaiah 42

Cross References

Deuteronomy 28:29Wakati wa adhuhuri utapapasapapasa huku na huko kama mtu kipofu katika giza. Hutafanikiwa katika lolote ufanyalo; siku baada ya siku utaonewa na kunyangʼanywa, wala hakuna yeyote atakayekuokoa.

Psalms 50:22“Yatafakarini haya, ninyi mnaomsahau Mungu, 2 ama sivyo nitawararua vipande vipande, 2 wala hapatakuwepo na yeyote wa kuwaokoa: 1

Isaiah 1:7Nchi yenu imekuwa ukiwa, 2 miji yenu imeteketezwa kwa moto; 1 nchi yenu imeachwa tupu na wageni 2 mbele ya macho yenu, 2 imeharibiwa kama vile imepinduliwa na wageni. 1

Isaiah 14:17yule aliyeifanya dunia kuwa jangwa, 2 aliyeipindua miji yake, 1 na ambaye hakuwaachia mateka wake 2 waende nyumbani?” 1

Isaiah 24:3Dunia itaharibiwa kabisa 2 na kutekwa nyara kabisa. 4 Bwana amesema neno hili. 1

Isaiah 24:22Watakusanywa pamoja 2 kama wafungwa waliofungwa gerezani, 1 watafungiwa gerezani 2 na kuadhibiwa baada ya siku nyingi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 42:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 42:21Isaiah 42Isaiah 42:23 →