Isaya 42:20
Mmeona vitu vingi, lakini hamkuzingatia; 2 masikio yenu yako wazi, lakini hamsikii chochote.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Seeing many things, but thou observest not; opening the ears, but he heareth not.
In Context
21Ilimpendeza Bwana 2 kwa ajili ya haki yake 2 kufanya sheria yake kuwa kuu na tukufu. 1
Cross References
Numbers 14:22hakuna hata mmoja wa watu hawa ambao waliuona utukufu wangu na ishara za miujiza niliyotenda huko Misri na huko jangwani, lakini ambaye hakunitii na akanijaribu mara hizi kumi,
Deuteronomy 29:2Mose akawaita Waisraeli wote akawaambia: Macho yenu yameona yale yote Bwana aliyofanya kwa Mfalme Farao huko Misri, kwa maafisa wake wote na kwa nchi yake yote.
Psalms 106:7Wakati baba zetu walipokuwa Misri, 2 hawakuzingatia maajabu yako, 1 wala hawakukumbuka wingi wa fadhili zako, 2 bali waliasi kando ya bahari, Bahari ya Shamu. 1
Isaiah 1:3Ngʼombe anamjua bwana wake, 2 naye punda anajua hori la mmiliki wake, 1 lakini Israeli hajui, 2 watu wangu hawaelewi.” 1
Isaiah 48:6Umesikia mambo haya; yaangalie hayo yote. 2 Je, hutayakubali? 1 “Kuanzia sasa na kuendelea nitakueleza mambo mapya, 2 juu ya mambo yaliyofichika usiyoyajua. 1
Isaiah 58:2Kwa maana kila siku hunitafuta, 2 wanaonekana kutaka kujua njia zangu, 1 kana kwamba walikuwa taifa linalotenda lililo sawa, 2 na ambalo halijaziacha amri za Mungu wake. 1 Hutaka kwangu maamuzi ya haki, 2 nao hutamani Mungu awakaribie. 1