Walawi 26:15
nanyi kama mtazikataa amri zangu na kuzichukia sheria zangu, tena mkishindwa kutimiza amri zangu na hivyo mkavunja agano langu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14“ ‘Lakini kama hamtanisikiliza na kutimiza maagizo haya yote,
Cross References
Genesis 17:14Kila mwanaume asiyetahiriwa, ambaye hajapata tohara ya mwilini, atatengwa na watu wake, amelivunja Agano langu.”
Exodus 24:7Kisha akachukua kile Kitabu cha Agano na kuwasomea watu. Nao wakajibu, “Tutafanya kila kitu alichosema Bwana, nasi tutatii.”
Numbers 15:31Kwa sababu amelidharau neno la Bwana na kuvunja amri zake, mtu huyo ni lazima akatiliwe mbali; hatia yake inabaki juu yake.’ ” 1 Mvunja Sabato Auawe
2 Samuel 12:9Kwa nini ulilidharau neno la Bwana kwa kufanya lililo ovu machoni pake? Ulimuua Uria, Mhiti kwa upanga na kumchukua mke wake awe mkeo. Ulimuua kwa upanga wa Waamoni.
2 Chronicles 36:16Lakini waliwadhihaki wajumbe wa Bwana wakayadharau maneno yake na kuwacheka manabii wake mpaka ghadhabu ya Bwana ikawa kubwa dhidi ya watu wake na hakukuwa na namna ya kuituliza.
Proverbs 1:7Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa, 2 lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. 1 Onyo Dhidi Ya Ushawishi Wa Marafiki Waovu 1