Isaya 43:16
Hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye aliyefanya njia baharini, 2 mahali pa kupita kwenye maji mengi, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thus saith the LORD, which maketh a way in the sea, and a path in the mighty waters;
In Context
15Mimi ndimi Bwana, yeye Aliye Mtakatifu wako, 2 Muumba wa Israeli, Mfalme wako.” 1
Cross References
Exodus 14:16Inua fimbo yako na unyooshe mkono wako juu ya bahari ili kuyagawa maji, hivyo kwamba Waisraeli wapate kupita mahali pakavu baharini.
Exodus 14:29Lakini Waisraeli wakapita baharini mahali pakavu, ukiwepo ukuta wa maji upande wao wa kuume na upande wao wa kushoto.
Nehemiah 9:11Ukagawa bahari mbele yao, ili waweze kupita katikati yake penye nchi kavu, lakini uliwatupa Wamisri waliowafuatilia katika vilindi, kama jiwe kwenye maji mengi.
Psalms 77:19Njia yako ilipita baharini, 2 mapito yako kwenye maji makuu, 2 ingawa nyayo zako hazikuonekana. 1
Psalms 78:13Aliigawanya bahari akawapitisha, 2 alifanya maji yasimame imara kama ukuta. 1
Psalms 114:3Bahari ilitazama ikakimbia, 2 Yordani ulirudi nyuma, 1