Zaburi 78:13
Aliigawanya bahari akawapitisha, 2 alifanya maji yasimame imara kama ukuta. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He divided the sea, and caused them to pass through; and he made the waters to stand as an heap.
In Context
12Alitenda miujiza machoni mwa baba zao, 2 huko Soani, katika nchi ya Misri. 1
14Aliwaongoza kwa wingu mchana 2 na kwa nuru kutoka kwenye moto usiku kucha. 1
Cross References
Exodus 14:1Ndipo Bwana akamwambia Mose,
Exodus 14:22nao Waisraeli wakapita baharini mahali pakavu, maji yakiwa ukuta upande wao wa kuume na upande wao wa kushoto.
Exodus 15:8Kwa pumzi ya pua zako 2 maji yalijilundika. 1 Mawimbi ya maji yakasimama imara kama ukuta, 2 vilindi vikagandamana ndani ya moyo wa bahari. 1
Joshua 3:16maji hayo yaliyotiririka kutoka upande wa juu yaliacha kutiririka yakasimama kama chuguu mbali kabisa nao, kwenye mji ulioitwa Adamu kwenye eneo la Sarethani, wakati yale maji yaliyokuwa yanatiririka kuingia kwenye Bahari ya Araba (yaani Bahari ya Chumvi), yalitindika kabisa. Hivyo watu wakavuka kukabili Yeriko.
Psalms 66:6Alifanya bahari kuwa nchi kavu, 2 wakapita kati ya maji kwa miguu, 2 njooni, tumshangilie. 1
Psalms 136:13Kwake yeye aliyeigawa Bahari ya Shamu, Fadhili zake zadumu milele. 1