Isaya 43:17
aliyeyakokota magari ya vita na farasi, 2 jeshi pamoja na askari wa msaada, 1 nao wakalala huko, wala hawatainuka tena kamwe, 2 wakakomeshwa, na wakazimika kama utambi: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye aliyefanya njia baharini, 2 mahali pa kupita kwenye maji mengi, 1
18“Msiyakumbuke mambo yaliyopita, 2 wala msiyatafakari mambo ya zamani. 1
Cross References
Exodus 14:23Wamisri wakawafuatia ndani ya bahari, pamoja na farasi wote wa Farao, magari ya vita na wapanda farasi.
Judges 4:16Lakini Baraka akafuata magari pamoja na jeshi mpaka Haroshethi-Hagoyimu. Jeshi lote la Sisera likaanguka kwa upanga, wala hakuna hata mtu mmoja aliyesalia.
Psalms 76:5Mashujaa hulala wametekwa nyara, 2 hulala usingizi wao wa mwisho; 1 hakuna hata mmoja wa watu wa vita 2 anayeweza kuinua mikono yake. 1
Isaiah 1:31Mtu mwenye nguvu atatoweka kama majani makavu yawakayo moto, 2 na kazi yake kama cheche ya moto; 1 vyote vitaungua pamoja, 2 wala hakuna wa kuuzima huo moto.”
Ezekiel 38:8Baada ya siku nyingi utaitwa vitani. Katika miaka ijayo, utaivamia nchi ile ambayo imepona kutoka vita, ambayo watu wake walikusanywa kutoka mataifa mengi kuja katika milima ya Israeli, ambayo kwa muda mrefu ilikuwa imeachwa ukiwa. Wameletwa kutoka mataifa na sasa wote wanaishi katika hali ya salama.
Revelation 20:8naye atatoka ili kuyadanganya mataifa yaliyopo katika pembe nne za dunia, yaani, Gogu na Magogu apate kuwakusanya tayari kwa vita. Idadi yao ni kama mchanga ulioko pwani.