The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 43 › Isaya 43:19

Isaya 43:19

Tazama, nitafanya jambo jipya! 2 Sasa litachipuka, je, hamtalitambua? 1 Nitafanya njia jangwani 2 na vijito vya maji katika nchi kame. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, I will do a new thing; now it shall spring forth; shall ye not know it? I will even make a way in the wilderness, and rivers in the desert.

In Context

18“Msiyakumbuke mambo yaliyopita, 2 wala msiyatafakari mambo ya zamani. 1

20Wanyama wa mwituni wataniheshimu, 2 mbweha na bundi, 1 kwa sababu ninawapatia maji jangwani, 2 na vijito katika nchi kame, 1 ili kuwapa watu wangu maji, wale niliowachagua, 2

Read all of Isaya 43

Cross References

Numbers 20:11Ndipo Mose akainua mkono wake na kuupiga mwamba mara mbili kwa fimbo yake. Maji yakabubujika, nayo jumuiya na mifugo yao wakanywa.

Psalms 78:16alitoa vijito kutoka kwenye jabali lililochongoka, 2 akayafanya maji yatiririke kama mito. 1

Isaiah 35:6Ndipo kilema atarukaruka kama kulungu, 2 nao ulimi wa aliye bubu utapaza sauti kwa shangwe. 1 Maji yatatiririka kwa kasi katika nyika, 2 na vijito katika jangwa. 1

Isaiah 35:9Huko hakutakuwepo na simba, 2 wala mnyama mkali hatapita njia hiyo, 2 wala hawatapatikana humo. 1 Ila waliokombolewa tu ndio watakaopita huko, 2

Isaiah 41:18Nitaifanya mito itiririke juu ya vilima vilivyo kame, 2 nazo chemchemi ndani ya mabonde. 1 Nitaligeuza jangwa liwe mabwawa ya maji, 2 nayo ardhi iliyokauka kuwa chemchemi za maji. 1

Isaiah 48:5Kwa hiyo nilikuambia mambo haya tangu zamani, 2 kabla hayajatokea nilikutangazia 1 ili usije ukasema, 2 ‘Sanamu zangu zilifanya hayo; 2 kinyago changu cha mti na mungu wangu wa chuma aliyaamuru.’ 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 43:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 43:18Isaya 43Isaya 43:20 →