Isaiah 48:5
Kwa hiyo nilikuambia mambo haya tangu zamani, 2 kabla hayajatokea nilikutangazia 1 ili usije ukasema, 2 ‘Sanamu zangu zilifanya hayo; 2 kinyago changu cha mti na mungu wangu wa chuma aliyaamuru.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 42:9Tazama, mambo ya kwanza yametokea, 2 nami natangaza mambo mapya; 1 kabla hayajatokea 2 nawatangazia habari zake.” 1 Wimbo Wa Kumsifu Bwana 1
Isaiah 44:7Ni nani basi aliye kama mimi? Yeye na atangaze. 2 Yeye atangaze na kuweka mbele yangu 1 ni kitu gani kilichotokea tangu nilipoumba watu wangu wa kale, 2 tena ni nini kitakachotokea: 2 naam, yeye na atoe unabii ni nini kitakachokuja. 1
Isaiah 48:3Nilitoa unabii mambo ya kwanza tangu zamani, 2 kinywa changu kiliyatangaza na kuyafanya yajulikane; 2 kisha ghafula nikayatenda, nayo yakatokea. 1
Luke 1:70kama alivyonena kwa vinywa vya manabii 2 wake watakatifu tangu zamani, 1