Isaiah 43:4
Kwa kuwa wewe ni wa thamani na wa kuheshimiwa machoni pangu, 2 nami kwa kuwa ninakupenda, 1 nitatoa watu badala yako 2 na mataifa badala ya maisha yako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 12:2“Mimi nitakufanya taifa kubwa 2 na nitakubariki, 1 Nitalikuza jina lako, 2 nawe utakuwa baraka. 1
Deuteronomy 4:37Kwa sababu aliwapenda baba zenu na alichagua wazao wao baada yao, aliwatoa katika nchi ya Misri kwa Uwepo wake na kwa uwezo wake mkuu,
Deuteronomy 14:2kwa maana ninyi ni taifa takatifu kwa Bwana Mungu wenu. Bwana amewachagua ninyi kuwa taifa la kipekee kutoka mataifa yote juu ya uso wa dunia, mwe tunu yake.
Deuteronomy 32:9Kwa kuwa fungu la Bwana ni watu wake, 2 Yakobo kura yake ya urithi. 1
Psalms 135:4Kwa maana Bwana amemchagua Yakobo kuwa wake mwenyewe, 2 Israeli kuwa mali yake ya thamani. 1
Jeremiah 31:3Bwana alitutokea wakati uliopita, akisema: 1 “Nimekupenda kwa upendo wa milele, 2 nimekuvuta kwa wema. 1