The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 43 › Isaya 43:5

Isaya 43:5

Usiogope, kwa kuwa mimi nipo pamoja nawe, 2 nitawaleta watoto wako kutoka mashariki, 2 na kukukusanya kutoka magharibi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Fear not: for I am with thee: I will bring thy seed from the east, and gather thee from the west;

In Context

4Kwa kuwa wewe ni wa thamani na wa kuheshimiwa machoni pangu, 2 nami kwa kuwa ninakupenda, 1 nitatoa watu badala yako 2 na mataifa badala ya maisha yako. 1

6Nitaiambia kaskazini, ‘Watoe!’ 2 nayo kusini, ‘Usiwazuie.’ 1 Walete wana wangu kutoka mbali, 2 na binti zangu kutoka miisho ya dunia: 1

Read all of Isaya 43

Cross References

Deuteronomy 30:3ndipo Bwana Mungu wako atakapokurudisha kutoka utumwani na kukuhurumia, naye atakukusanya tena kutoka mataifa yote kule alikutawanya.

Psalms 22:27Miisho yote ya dunia itakumbuka 2 na kumgeukia Bwana, 1 nazo jamaa zote za mataifa 2 watasujudu mbele zake, 1

Psalms 107:3wale aliowakusanya kutoka nchi mbalimbali, 2 kutoka mashariki na magharibi, 2 kutoka kaskazini na kusini. 1

Isaiah 27:12Katika siku ile Bwana atapura kutoka matiririko ya Mto Frati hadi Kijito cha Misri, nanyi ee Waisraeli, mtakusanywa mmoja mmoja.

Isaiah 41:10Hivyo usiogope, kwa maana niko pamoja nawe; 2 usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako. 1 Nitakutia nguvu na kukusaidia; 2 nitakutegemeza kwa mkono wa kuume wa haki yangu. 1

Isaiah 43:2Unapopita kwenye maji makuu, 2 nitakuwa pamoja nawe, 1 unapopita katika mito ya maji, 2 hayatakugharikisha. 1 Utakapopita katika moto, 2 hutaungua, 2 miali ya moto haitakuunguza. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 43:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 43:4Isaya 43Isaya 43:6 →