Isaya 43:7
kila mmoja ambaye ameitwa kwa Jina langu, 2 niliyemuumba kwa utukufu wangu, 2 niliyemhuluku na kumfanya.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Uwaongoze wale wenye macho lakini hawaoni, 2 wenye masikio lakini hawasikii. 1
Cross References
Psalms 50:23Atoaye dhabihu za shukrani ananiheshimu mimi, 2 naye aiandaa njia yake 2 ili nimwonyeshe wokovu wa Mungu.”
Psalms 100:3Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu. 2 Yeye ndiye alituumba, sisi tu mali yake; 1 sisi tu watu wake, 2 kondoo wa malisho yake. 1
Isaiah 43:1Lakini sasa hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye aliyekuumba, ee Yakobo, 2 yeye aliyekuhuluku, ee Israeli: 1 “Usiogope kwa maana nimekukomboa, 2 nimekuita wewe kwa jina lako, wewe u wangu. 1
Isaiah 48:11Kwa ajili yangu mwenyewe, 2 kwa ajili yangu mwenyewe, nafanya hili. 1 Jinsi gani niliache Jina langu lichafuliwe? 2 Sitautoa utukufu wangu kwa mwingine. 1 Israeli Anawekwa Huru 1
Isaiah 60:21Ndipo watu wako wote watakuwa waadilifu, 2 nao wataimiliki nchi milele. 1 Wao ni chipukizi nililolipanda, 2 kazi ya mikono yangu, 2 ili kuonyesha utukufu wangu. 1
Isaiah 63:19Sisi tumekuwa kama wale ambao hujawatawala kamwe, 1 kama wale ambao hawajaitwa kwa jina lako.