Isaiah 48:11
Kwa ajili yangu mwenyewe, 2 kwa ajili yangu mwenyewe, nafanya hili. 1 Jinsi gani niliache Jina langu lichafuliwe? 2 Sitautoa utukufu wangu kwa mwingine. 1 Israeli Anawekwa Huru 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Tazama, nimekusafisha, ingawa si kama fedha, 2 nimekujaribu katika tanuru ya mateso. 1
Cross References
Numbers 14:15Ikiwa utawaua watu hawa wote mara moja, mataifa ambayo yamesikia taarifa hii kukuhusu wewe watasema,
Deuteronomy 32:27Lakini nilihofia dhihaka za adui, 2 adui asije akashindwa kuelewa, 1 na kusema, ‘Mikono yetu imeshinda; 2 Bwana hakufanya yote haya.’ ” 1
Psalms 25:7Usizikumbuke dhambi za ujana wangu 2 wala njia zangu za uasi, 1 sawasawa na upendo wako unikumbuke, 2 kwa maana wewe ni mwema, Ee Bwana. 1
Isaiah 37:35“Nitaulinda mji huu na kuuokoa, 2 kwa ajili yangu mwenyewe, 2 na kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu!”
Isaiah 43:25“Mimi, naam mimi, ndimi nizifutaye dhambi zako, 2 kwa ajili yangu mwenyewe, 2 wala sizikumbuki dhambi zako tena. 1
Isaiah 52:5“Basi sasa nina nini hapa?” asema Bwana. 1 “Kwa kuwa watu wangu wamechukuliwa pasipo malipo, 2 nao wale wanaowatawala wanawadhihaki,” 4 asema Bwana. 1 “Mchana kutwa 2 jina langu limetukanwa bila kikomo. 1