Isaiah 43:8
Uwaongoze wale wenye macho lakini hawaoni, 2 wenye masikio lakini hawasikii. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Bring forth the blind people that have eyes, and the deaf that have ears.
In Context
Cross References
Isaiah 6:9Akasema, “Nenda ukawaambie watu hawa: 1 “ ‘Mtaendelea daima kusikiliza, 2 lakini kamwe hamtaelewa; 1 mtaendelea daima kutazama, 2 lakini kamwe hamtatambua.’ 1
Isaiah 44:18Hawajui chochote, hawaelewi chochote, 2 macho yao yamefungwa hata hawawezi kuona, 2 akili zao zimefungwa hata hawawezi kufahamu. 1
Ezekiel 12:2“Mwanadamu, unaishi miongoni mwa watu waasi. Wana macho ya kuona, lakini hawaoni na masikio ya kusikia lakini hawasikii, kwa kuwa ni watu waasi.