The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 44 › Isaya 44:14

Isaya 44:14

Hukata miti ya mierezi, 2 huchukua mtiriza au mwaloni. 1 Huuacha ukue miongoni mwa miti ya msituni, 2 au hupanda msunobari, nayo mvua huufanya ukue. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He heweth him down cedars, and taketh the cypress and the oak, which he strengtheneth for himself among the trees of the forest: he planteth an ash, and the rain doth nourish it.

In Context

13Seremala hupima kwa kutumia kamba 2 na huuchora mstari kwa kalamu; 1 huchonga kwa patasi 2 na kutia alama kwa bikari. 1 Huifanyiza katika umbo la binadamu, 2 la mwanadamu katika utukufu wake wote, 2 ili iweze kukaa katika sehemu yake ya ibada ya miungu. 1

15Ni kuni ya binadamu: 2 yeye huchukua baadhi yake na kuota moto, 2 huwasha moto na kuoka mkate. 1 Lakini pia huutumia kumtengeneza mungu na akamwabudu, 2 huitengeneza sanamu na kuisujudia. 1

Read all of Isaya 44

Cross References

Isaiah 40:20Mtu aliye maskini sana asiyeweza kuleta sadaka kama hii 2 huuchagua mti usiooza. 1 Humtafuta fundi stadi 2 wa kusimamisha sanamu ambayo haitatikisika. 1

Hosea 4:12wa watu wangu. 1 Hutaka shauri kutoka kwa sanamu ya mti 2 nao hujibiwa na fimbo ya mti. 1 Roho ya ukahaba imewapotosha, 2 hawana uaminifu kwa Mungu wao. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 44:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 44:13Isaya 44Isaya 44:15 →