The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 44 › Isaiah 44:23

Isaiah 44:23

Enyi mbingu, imbeni kwa furaha, 2 kwa maana Bwana amefanya jambo hili. 2 Ee vilindi vya dunia, piga kelele. 1 Enyi milima, pazeni sauti kwa nyimbo, 2 enyi misitu na miti yenu yote, 1 kwa maana Bwana amemkomboa Yakobo, 2 ameuonyesha utukufu wake katika Israeli. 1 Yerusalemu Kukaliwa 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Sing, O ye heavens; for the LORD hath done it: shout, ye lower parts of the earth: break forth into singing, ye mountains, O forest, and every tree therein: for the LORD hath redeemed Jacob, and glorified himself in Israel.

In Context

22Nimeyafuta makosa yako kama wingu, 2 dhambi zako kama ukungu wa asubuhi. 1 Nirudie mimi, 2 kwa kuwa nimekukomboa wewe.” 1

24“Hili ndilo asemalo Bwana, 2 Mkombozi wako, aliyekuumba tumboni: 1 “Mimi ni Bwana, 1 niliyeumba vitu vyote, 1 niliyezitanda mbingu peke yangu, 1 niliyeitandaza nchi mwenyewe, 1

Read all of Isaiah 44

Cross References

Exodus 18:9Yethro akafurahishwa sana kusikia juu ya mambo yote mazuri Bwana aliyowatendea Waisraeli kuwaokoa kutoka mkono wa Wamisri.

1 Chronicles 16:33Kisha miti ya msituni itaimba, 2 itaimba kwa furaha mbele za Bwana, 2 kwa maana anakuja kuihukumu dunia. 1

Psalms 69:34Mbingu na dunia zimsifu, 2 bahari na vyote viendavyo ndani yake, 1

Psalms 89:13Mkono wako umejaa uwezo; 2 mkono wako una nguvu, 2 mkono wako wa kuume umetukuzwa. 1

Psalms 98:7Bahari na ivume na kila kiliomo ndani yake, 2 dunia na wote wakaao ndani yake. 1

Psalms 148:9ninyi milima na vilima vyote, 2 miti ya matunda na mierezi yote, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 44:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 44:22Isaiah 44Isaiah 44:24 →