Isaiah 45:2
Nitakwenda mbele yako 2 na kusawazisha milima; 1 nitavunjavunja malango ya shaba 2 na kukatakata mapingo ya chuma. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 107:16kwa kuwa yeye huvunja malango ya shaba 2 na kukata mapingo ya chuma. 1
Isaiah 13:4Sikilizeni kelele juu ya milima, 2 kama ile ya umati mkubwa wa watu! 1 Sikilizeni, makelele katikati ya falme, 2 kama mataifa yanayokusanyika pamoja! 1 Bwana Mwenye Nguvu Zote anakusanya 2 jeshi kwa ajili ya vita. 1
Isaiah 42:16Nitawaongoza vipofu kwenye njia ambayo hawajaijua, 2 kwenye mapito wasiyoyazoea nitawaongoza; 1 nitafanya giza kuwa nuru mbele yao, 2 na kufanya mahali palipoparuza kuwa laini. 1 Haya ndiyo mambo nitakayofanya; 2 mimi sitawaacha. 1
Daniel 8:4Nikamtazama yule kondoo dume alivyokuwa akishambulia kuelekea magharibi, kaskazini na kusini. Hakuna mnyama yeyote aliyeweza kusimama dhidi yake, wala hakuna aliyeweza kuokoa kutoka nguvu zake. Alifanya kama atakavyo, naye akawa mkuu.
Luke 3:5Kila bonde litajazwa, 2 kila mlima na kilima vitashushwa. 1 Njia zilizopinda zitanyooshwa, 2 na zilizoparuza zitasawazishwa. 1