Luke 3:5
Kila bonde litajazwa, 2 kila mlima na kilima vitashushwa. 1 Njia zilizopinda zitanyooshwa, 2 na zilizoparuza zitasawazishwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Nao watu wote watauona 2 wokovu wa Mungu.’ ”
Cross References
Isaiah 35:6Ndipo kilema atarukaruka kama kulungu, 2 nao ulimi wa aliye bubu utapaza sauti kwa shangwe. 1 Maji yatatiririka kwa kasi katika nyika, 2 na vijito katika jangwa. 1
Isaiah 42:16Nitawaongoza vipofu kwenye njia ambayo hawajaijua, 2 kwenye mapito wasiyoyazoea nitawaongoza; 1 nitafanya giza kuwa nuru mbele yao, 2 na kufanya mahali palipoparuza kuwa laini. 1 Haya ndiyo mambo nitakayofanya; 2 mimi sitawaacha. 1
Isaiah 49:11Nitaifanya milima yangu yote kuwa barabara, 2 na njia kuu zangu zitainuliwa. 1
Ezekiel 17:24Miti yote ya kondeni itajua kuwa Mimi Bwana ninaishusha miti mirefu na kuikuza miti mifupi kuwa miti mirefu. Mimi naikausha miti mibichi na kuifanya miti mikavu istawi. “ ‘Mimi Bwana nimesema, nami nitatenda.’ ”
Hebrews 12:12Kwa hiyo, itieni nguvu mikono yenu iliyo dhaifu na magoti yenu yaliyolegea.