The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 65 › Isaya 65:23

Isaya 65:23

Hawatajitaabisha kwa kazi bure, 2 wala hawatazaa watoto ili wapatwe na majanga, 1 kwa kuwa watakuwa taifa lililobarikiwa na Bwana, 2 wao na wazao wao pamoja nao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They shall not labour in vain, nor bring forth for trouble; for they are the seed of the blessed of the LORD, and their offspring with them.

In Context

22Hawatajenga nyumba, nao watu wengine waishi ndani yake, 2 au kupanda mazao na wengine wale. 1 Kwa kuwa kama zilivyo siku za mti, 2 ndivyo zitakavyokuwa siku za watu wangu, 1 wateule wangu watafurahia kwa siku nyingi 2 kazi za mikono yao. 1

24Kabla hawajaita, nitajibu, 2 nao wakiwa katika kunena, nitasikia. 1

Read all of Isaya 65

Cross References

Genesis 17:7Nitalithibitisha Agano langu kama Agano la milele kati yangu na wewe na wazao wako baada yako na vizazi vijavyo niwe Mungu wako na Mungu wa wazao wako.

Leviticus 26:20Nguvu zenu zitatumika bila ya mafanikio, kwa sababu ardhi yenu haitawazalia mazao yake, wala miti ya nchi yenu haitazaa matunda yake.

Leviticus 26:29Mtakula nyama ya wana wenu na nyama ya binti zenu.

Deuteronomy 28:38Utapanda mbegu nyingi katika shamba lakini utavuna haba, kwa sababu nzige watazila.

Job 21:8Huwaona watoto wao wakithibitika 2 wakiwa wamewazunguka, 2 wazao wao mbele za macho yao. 1

Isaiah 49:4Lakini nilisema, “Nimetumika bure, 2 nimetumia nguvu zangu bure bila faida. 1 Hata hivyo linalonistahili liko mkononi mwa Bwana, 2 nao ujira wangu uko kwa Mungu wangu.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 65:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 65:22Isaya 65Isaya 65:24 →