Isaiah 46:5
“Mtanilinganisha na nani, au mtanihesabu kuwa sawa na nani? 2 Ni nani mtakayenifananisha naye ili tuweze kulinganishwa? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
To whom will ye liken me, and make me equal, and compare me, that we may be like?
In Context
Cross References
Exodus 15:11“Ni nani miongoni mwa miungu aliye kama wewe, Ee Bwana? 2 Ni nani kama Wewe: 3 uliyetukuka katika utakatifu, 3 utishaye katika utukufu, 3 ukitenda maajabu? 1
Psalms 89:6Kwa kuwa ni nani katika mbingu 2 anayeweza kulinganishwa na Bwana? 1 Ni nani miongoni mwa viumbe vya mbinguni 2 aliye kama Bwana? 1
Psalms 113:5Ni nani aliye kama Bwana Mungu wetu, 2 Yeye ambaye ameketi juu kwenye kiti cha enzi, 1
Isaiah 40:25“Utanilinganisha mimi na nani? 2 Au ni nani anayelingana nami?” asema yeye Aliye Mtakatifu. 1
Jeremiah 10:16Yeye aliye Fungu la Yakobo sivyo alivyo, 2 kwani ndiye Muumba wa vitu vyote, 1 pamoja na Israeli, kabila la urithi wake: 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake. 1 Maangamizi Yajayo 1
Colossians 1:15Yeye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.