Isaiah 46:9
Kumbukeni mambo yaliyopita, yale ya zamani za kale; 2 mimi ndimi Mungu, wala hakuna mwingine; 1 mimi ndimi Mungu, 2 wala hakuna mwingine aliye kama mimi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8“Kumbukeni hili, litieni akilini, 2 liwekeni moyoni, enyi waasi. 1
Cross References
Exodus 15:11“Ni nani miongoni mwa miungu aliye kama wewe, Ee Bwana? 2 Ni nani kama Wewe: 3 uliyetukuka katika utakatifu, 3 utishaye katika utukufu, 3 ukitenda maajabu? 1
Deuteronomy 33:26“Hakuna mwingine kama Mungu wa Yeshuruni, 2 ambaye hupanda juu ya mbingu ili akusaidie, 2 na juu ya mawingu katika utukufu wake. 1
Job 10:13“Lakini hili ndilo ulilolificha moyoni mwako, 2 nami ninajua kuwa hili lilikuwa katika nia yako: 1
Psalms 78:2Nitafungua kinywa changu kwa mafumbo, 2 nitazungumza mambo yaliyofichika, mambo ya kale: 1
Psalms 111:4Amefanya maajabu yake yakumbukwe, 2 Bwana ni mwenye neema na huruma. 1
Isaiah 43:10“Ninyi ni mashahidi wangu,” asema Bwana, 2 “na mtumishi wangu niliyemchagua, 1 ili mpate kunijua na kuniamini, 2 na kutambua kwamba Mimi ndiye. 1 Kabla yangu hakuna mungu aliyefanyizwa, 2 wala hatakuwepo mwingine baada yangu. 1