The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 43 › Isaya 43:10

Isaya 43:10

“Ninyi ni mashahidi wangu,” asema Bwana, 2 “na mtumishi wangu niliyemchagua, 1 ili mpate kunijua na kuniamini, 2 na kutambua kwamba Mimi ndiye. 1 Kabla yangu hakuna mungu aliyefanyizwa, 2 wala hatakuwepo mwingine baada yangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Ye are my witnesses, saith the LORD, and my servant whom I have chosen: that ye may know and believe me, and understand that I am he: before me there was no God formed, neither shall there be after me.

In Context

9Mataifa yote yanakutanika pamoja, 2 na makabila yanakusanyika. 1 Ni nani miongoni mwao aliyetangulia kutuambia haya, 2 na kututangazia mambo yaliyopita? 1 Walete mashahidi wao ili kuwathibitisha kuwa walikuwa sahihi, 2 ili wengine waweze kusikia, waseme, “Ni kweli.” 1

11Mimi, naam mimi, ndimi Bwana, 2 zaidi yangu hakuna mwokozi. 1

Read all of Isaya 43

Cross References

Deuteronomy 4:35Mlionyeshwa mambo haya ili mpate kujua kuwa Bwana ndiye Mungu; hakuna mwingine ila yeye.

Isaiah 40:21Je, hujui? 2 Je, hujasikia? 1 Je, hujaambiwa tangu mwanzo? 2 Je, hujafahamu tangu kuumbwa kwa dunia? 1

Isaiah 41:8“Lakini wewe, ee Israeli, mtumishi wangu, 2 Yakobo, niliyemchagua, 2 ninyi wazao wa Abrahamu rafiki yangu, 1

Isaiah 42:1“Huyu hapa mtumishi wangu, ninayemtegemeza, 2 mteule wangu, ambaye ninapendezwa naye; 1 nitaweka Roho yangu juu yake, 2 naye ataleta haki kwa mataifa. 1

Isaiah 44:6“Hili ndilo asemalo Bwana, 2 Mfalme wa Israeli na Mkombozi, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 Mimi ni wa kwanza na Mimi ni wa mwisho; 2 zaidi yangu hakuna Mungu. 1

Isaiah 45:5Mimi ndimi Bwana, wala hakuna mwingine, 2 zaidi yangu hakuna Mungu. 1 Nitakutia nguvu, 2 ingawa wewe hujanitambua, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 43:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 43:9Isaya 43Isaya 43:11 →