Isaya 46:8
“Kumbukeni hili, litieni akilini, 2 liwekeni moyoni, enyi waasi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Remember this, and shew yourselves men: bring it again to mind, O ye transgressors.
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:29Laiti wangekuwa na hekima wangefahamu hili, 2 na kutambua mwisho wao utakuwa aje! 1
Psalms 135:18Wale wanaozitengeneza watafanana nazo, 2 vivyo hivyo wale wote wanaozitumainia. 1
Isaiah 47:7Ukasema, ‘Nitaendelea 2 kuwa malkia milele!’ 1 Lakini hukutafakari mambo haya 2 wala hukuwaza juu ya kile kingeweza kutokea. 1
Ezekiel 18:28Kwa kuwa anayafikiria na kugeuka kutoka makosa yake yote aliyoyatenda na kuyaacha, hakika ataishi, hatakufa.
Haggai 1:7Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Zitafakarini vyema njia zenu.
1 Corinthians 14:20Ndugu zangu, msiwe kama watoto katika kufikiri kwenu, afadhali kuhusu uovu mwe kama watoto wachanga, lakini katika kufikiri kwenu, mwe watu wazima.