The Bible Software
bible.softwareJobJob 2 › Job 2:8

Job 2:8

Ndipo Ayubu akachukua kigae na kujikuna nacho huku akiketi kwenye majivu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he took him a potsherd to scrape himself withal; and he sat down among the ashes.

In Context

7Basi Shetani akatoka mbele za Bwana naye akampiga Ayubu kwa majipu mabaya tangu nyayo za miguu yake hadi utosi wa kichwa.

9Mke wake akamwambia, “Je, bado unashikamana na uadilifu wako? Mlaani Mungu nawe ukafe!”

Read all of Job 2

Cross References

Esther 4:1Mordekai alipojua yote yaliyokwisha kufanyika, alirarua mavazi yake na kuvaa nguo za magunia na kujipaka majivu, akaenda mjini, akiomboleza kwa sauti na kwa uchungu.

Job 19:14Watu wa jamaa yangu wamekwenda mbali; 2 rafiki zangu wamenisahau. 1

Psalms 38:5Majeraha yangu yameoza na yananuka, 2 kwa sababu ya upumbavu wa dhambi zangu. 1

Isaiah 61:3na kuwapa mahitaji 2 wale wanaohuzunika katika Sayuni, 1 ili kuwapa taji ya uzuri badala ya majivu, 2 mafuta ya furaha badala ya maombolezo, 2 vazi la sifa badala ya roho ya kukata tamaa. 1 Nao wataitwa mialoni ya haki, 2 pando la Bwana, 2 ili kuonyesha utukufu wake. 1

Ezekiel 27:30Watapaza sauti zao 2 na kulia sana kwa ajili yako; 1 watajitupia mavumbi juu ya vichwa vyao 2 na kujivingirisha kwenye majivu. 1

Matthew 11:21“Ole wako, Korazini! Ole wako Bethsaida! Kwa maana kama miujiza iliyofanyika kwenu, ingefanyika Tiro na Sidoni, miji hiyo ingekuwa imetubu zamani kwa kuvaa magunia na kujipaka majivu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 2:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 2:7Job 2Job 2:9 →