The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 47 › Isaiah 47:4

Isaiah 47:4

Mkombozi wetu: Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake; 2 ndiye yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

As for our redeemer, the LORD of hosts is his name, the Holy One of Israel.

In Context

3Uchi wako utafunuliwa 2 na aibu yako itaonekana. 1 Nitalipa kisasi; 2 sitamhurumia hata mmoja.” 1

5“Keti kimya, ingia gizani, 2 Binti wa Wakaldayo, 2 hutaitwa tena malkia wa falme. 1

Read all of Isaiah 47

Cross References

Isaiah 41:14Usiogope, ee Yakobo uliye mdudu, 2 ee Israeli uliye mdogo, 1 kwa kuwa Mimi mwenyewe nitakusaidia,” asema Bwana, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Isaiah 43:14Hili ndilo Bwana asemalo, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli: 1 “Kwa ajili yenu nitatumana Babeli 2 na kuwaleta Wakaldayo wote kama wakimbizi, 2 katika meli walizozionea fahari. 1

Isaiah 44:6“Hili ndilo asemalo Bwana, 2 Mfalme wa Israeli na Mkombozi, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 Mimi ni wa kwanza na Mimi ni wa mwisho; 2 zaidi yangu hakuna Mungu. 1

Isaiah 51:15Kwa maana Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, 2 ambaye huisukasuka bahari ili mawimbi yake yangurume: 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake. 1

Jeremiah 31:11Kwa kuwa Bwana atamlipia fidia Yakobo 2 na kuwakomboa mkononi mwa walio na nguvu kuliko wao. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 47:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 47:3Isaiah 47Isaiah 47:5 →