The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 51 › Isaya 51:15

Isaya 51:15

Kwa maana Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, 2 ambaye huisukasuka bahari ili mawimbi yake yangurume: 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But I am the LORD thy God, that divided the sea, whose waves roared: The LORD of hosts is his name.

In Context

14Wafungwa waliojikunyata kwa hofu 2 watawekwa huru karibuni; 1 hawatafia kwenye gereza lao, 2 wala hawatakosa chakula. 1

16Nimeweka maneno yangu kinywani mwako 2 na kukufunika kwa uvuli wa mkono wangu: 1 Mimi niliyeweka mbingu mahali pake, 2 niliyeweka misingi ya dunia, 1 niwaambiaye Sayuni, 2 ‘Ninyi ni watu wangu.’ ” 1 Kikombe Cha Ghadhabu Ya Bwana 1

Read all of Isaya 51

Cross References

Exodus 6:7Nitawatwaa mwe watu wangu mwenyewe, nami nitakuwa Mungu wenu. Ndipo mtajua kuwa mimi ndimi Bwana Mungu wenu, niliyewatoa chini ya kongwa la Wamisri.

Job 26:12Kwa nguvu zake aliisukasuka bahari; 2 kwa hekima yake alimkata Rahabu + 26:12 Rahabu hapa ni fumbo la kumaanisha Lewiathani, mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa. vipande vipande. 1

Psalms 114:3Bahari ilitazama ikakimbia, 2 Yordani ulirudi nyuma, 1

Isaiah 47:4Mkombozi wetu: Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake; 2 ndiye yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Isaiah 51:10Si ni wewe uliyekausha bahari, 2 maji ya kilindi kikuu, 1 uliyefanya barabara katika vilindi vya bahari 2 ili waliokombolewa wapate kuvuka? 1

Jeremiah 10:16Yeye aliye Fungu la Yakobo sivyo alivyo, 2 kwani ndiye Muumba wa vitu vyote, 1 pamoja na Israeli, kabila la urithi wake: 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake. 1 Maangamizi Yajayo 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 51:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 51:14Isaya 51Isaya 51:16 →